Ilala uhuru mchanganyiko secondary national examination form two 2019

MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amewataka wazazi na walezi kuwaacha huru watoto wao kuendelea na masomo wayapendayo badala ya kuwachagulia. Alisema hivi sasa kuna changamoto kubwa kwa watumishi kujiingiza katika vitendo vya ubadhirifu kutokana na kutokuwa wazalendo kutokana na kufanya kazi ambayo imetokana na masomo ambayo hawakuyapenda.

Alisema kama mtoto anapenda kuwa mtaalamu wa kompyuta muache aendelee na masomo ya kompyuta badala ya kumlazimisha kuwa na taaluma nyingine. Mkuu wa Shule hiyo, Luteni Kanali Robert Kessy alisema wahitimu hao wameandaliwa vizuri kwa ajili ya kufanya mtihani wao watakao uanza Jumanne wiki ijayo na kuwa wanategemea wote watafanya vizuri.

Kessy alisema kuhitimu kidato cha nne ni hatua nyingine ya kuendelea na elimu ya juu hivyo aliwataka wahitimu hao kuondoa wasiwasi katika kipindi hiki cha kuelekea kufanya mtihani wa mwisho. Wakisoma risala yao kwa mgeni rasmi Paul Makonda wanafunzi hao walisema changaoto kubwa waliyonayo na uchakavu wa miundombinu shuleni hapo kama mapaa ya vyumba vya madarasa kuezekwa kwa mabati aina ya Asbestors ambayo si mazuri kiafya pamoja na uchakavu wa sakafu ambapo Makonda aliahidi kutoa mabati 2, kwa ajili ya kuezekea vyumba Katika hatua nyingine Makonda amezitaka shule za sekondari za jeshi katika mkoa wa Dar es Salaam kuhakikisha zinaunda kamati kwa ajili ya kurudisha heshima ya michezo mashuleni kama ilivyokuwa awali.

Posted by Jafari at Thursday, May 04, No comments:. Posted by Jafari at Saturday, February 28, No comments:. Posted by Jafari at Wednesday, July 16, No comments:.

Posted by Jafari at Tuesday, March 04, 1 comment:. Older Posts Home. Subscribe to: Posts Atom.Kwa watahiniwa Walioko na Wasiokuwa Shuleni. Jibu tnaswali yote katika sehemu hii.

Soma kwa umakini kifungu cha habari kifuatacho kisha jibu maswali yanayofuata. Ingawa utaona kuwa haya nitakayoyasimulia hayakuhusu ndewe wala sikio, kwa vile mzigo wa mwenzio ni kanda la usufi, lakini kumbuka, mwenzio akinyolewa na wewe tia maji maana yaliyompata beku na ungo yatampata.

Ukiona yale yanayomsibu Mwanaheri hivi sasa ni dhahiri utakubaliana na mimi kuwa ujana ni kama maua.

Presentazione del volume ritos de guerra y de victoria en la

Kwa matatizo anayoyapata Mwanaheri ni kuntu kuwa upigao ndio ufunzao. Ingawa kwake ni sawa na maji yaliyomwagika hayazoleki, na ninaamini kuwa kwa wengine hill ni fundisho kwa kuwa watu husema, kama hujui kufa tazama kaburi. Uzee unaomkabili Mwanaheri sasa unahitaji msaada mkubwa wa mtoto wake haidhuru mjukuu wake. Lakini maskini, hakupenda watu hao kuwa nao tangu awali ya maisha yake.

Ingawa hivi sasa anao watoto wa ndugu zake, lakini hawana msaada wowote kwake. Ndiyo maana watu hawakukosea kusema ndugu akizaa na wewe uzae maana changu si chetu. Kwa uzuri, alhamdulillah, aliumbika, maana alikuwa chuma hasa wala si masihara.

Enzi zake Mwanaheri, alikuwa Mwanaheri kweli. Alikuwa hapitwi na mwanamume.

JITEGEMEE JKT SEC SCHOOL

Mbali ya kuwa na kidevu cha mfuto chenye kidimbwi kwa mbali, macho yake ya gololi yalimvuta mwanamume yeyote hata muumini wa dini. Miguu iliumbwa kadri ya mwili wake. Ukimwangalia kwa nyuma umbo lake ni sawa na umbo la namba nane. Ingawa alikuwa na nywele za kipilipili, lakini alizitengeneza zikawa kama za singa.

Uzuri wote huo aliotunukiwa kama hedaya yake papa duniani, umeathiriwa na mwenendo tu. Mwenendo huu ulimpa jina baya la kuitwa jamvi la wageni.This is an achievement test offered to candidates who have completed four years of secondary education. CSEE is administered at the first week of November every year.

The objectives of this examination are to assess students' skills and knowledge achieved in different subjects at secondary school. Also to weigh the extent to which the student can use the skills gained to meet the social, political, economic and technological challenges for the individual and the national development at large; to identify students with the capacity to continue learning to the advanced secondary school level and other learning institutions.

The holder of the CSEE qualification is expected to be able to apply skills of knowledge, comprehension, application, analysis, synthesis and evaluation in a broad range of activities.

Seriespapaya

Eligibility of Candidates who Seats for the Examination. Any students who have completed four years of secondary education at both government and non-government registered schools and passed form two secondary education examination or Qualifying Test.

Privacidad y condiciones de servicio

Also, repeaters of the same examination who registered themselves as private candidates. No candidate for the CSEE shall register for more than ten subjects at one sitting. Subscribe to: Posts Atom. About Contact Advertisement Privacy Disclaimer.Good Blog with good Pictures, i really like it.

S ST. S Ekenywa S. S S Endasaki S. S S Kiteto S. S S ASK. S S King'ori S. S S Gidas S. S S Longido S. S S Dr. Olsen S. S S J. S S MWL. S S ST. S Mlangarini S. S Welwel S. S S Endabash S. S S Kansay S. S Msitu Wa Tembo S. S MT. S Ketumbeine S. Sumaye S. S S Naisinyai S.

S KOM S. S Enduimet S. S Mary Nagu S. S S Masakta S. S S Hanang Day S. S S Elerai S. ALLY M. S S Masieda S. S S Kiru S. S Laghanga S. S S Dinamu S. S S Ndeki S. S Maruvango S. S S Miririni S.P ST. P D. P HAKI.

P J. P HIMO. P O. P OJAK. P NUI.

Cutting hair off depression

P CHEM. P T. P Y. S ST. S MARA. S PUGU. S SAME. S MT. S KIBO. S LAKE. S SIHA. S UYUI. S URU. S BOZA. S META. S J.

Waziri Magoha asema kalenda ya KCPE na KCSE 2020 haijabadilika

S WARI. S NSOO. S SUJI. S KILI. S KAHE. S MAGU. S MKUU. S WAWI.

NECTA Form Four Results 2018/2019| MATOKEO YA FORM FOUR CSEE 2018/2019

S KOME. S LUPA.What is of utmost importance to a student, is understanding what is being taught by a teacher. Students often fail to grasp the basic knowledge that is being imparted.

As such, any approach that can ease the teaching and learning process is always welcome at learning institutions. This has seen the rise of digital formats that help students understand science subject and arts better.

Now, another approach is becoming more popular in schools. Students studying literature have been availed to a different approach of learning the subject. Through stage dramas, it is easier for Form Three and Form four students to learn literature books.

FTNA Results 2020 -Matokeo form two 2020/2021 by NECTA

This approach was initiated by Ngao Arts group which started the Tanzania Education Theatre TETan initiative with a view to dramatize Swahili and English novels and plays which are part of the Form Three and Form Four syllabuses through stage plays.

More than 42, students have been reached in 16 schools in Dar es Salaam, but the original goal of the initiative is to reach the whole country, this is according to the managing director of the TET programme, Mr Ali Mohammed. The initiative was tested and approved by the National Arts Council Basata.

The council acknowledged that drama can help students in learning and understanding literature books. He is also confident that, students understand quickly when they see what they read. He admitted that he used to apply a similar method when he was a lecturer at the University of Dar es Salaam.

A Form Three student, Najma Ahmad, 16, studying Arts at Nyembulu secondary school in the outskirts of Dar es Salaam, confirmed that she has never entered the library with the intention of reading any book. She however entered once, but only when she was tasked to clean the library and arrange the books on shelves. Najma is not alone, even Salome Fundikila and Ibrahim Shaban, Form Four students from Nyembulu and Mkera secondary schools respectively, share the same view.

They however, understand that they are required to read at least two Swahili and other two English books as well as poems as preparations for sitting for their final examinations. Fortunately, according to Najma, Salome and Ibrahim employing stage plays as a form of teaching the literature books is a good solution that keeps students interested in the subjects.

She was easily captivated by the names of the main and supporting characters, understanding their behaviours and characterisations. She is delighted that the actors used only three hours to present two books to more than students from different schools. Another literature teacher from Uhuru Mchanganyiko Secondary School, Ms Naomi Modest, said that the initiative will reduce the challenges of shortage of literature books.

However, some teacher wished for TET to add other books so that students can have more options of which book to use when sitting for an examination.

The Citizen Magazines success.

Sies 2012

Also Read. Understanding the symptoms of coronavirus while at home Dangers of wearing ill-fitting footwear Pandemic: How safe is it to eat a restaurant takeout?

BSS put in the spotlight for the wrong reasons. The initiative has employed the services of 17 actors to perform the characters in the books. She was amazed at how TET could deliver two books in a single day and be understood by students. Tanzania Covid cases jump to 88 as 29 more test positive in two days The number of confirmed Covid cases rose to 88 in Tanzania on Wednesday, 15 April after.

Covid Makonda names 24 sample collecting centers in Dar es Salaam UK pregnant nurse dies from coronavirus, but baby saved Gates Foundation calls for global cooperation on vaccine for 7 billion people Zanzibar records first death as cases of Covid infection reach 18 South Africa clamps down on 'fake' coronavirus posts Unrest fears rise as Nigeria's Lagos extends lockdown.As soon as I entered the living room, I was greeted with a warm broad smile from my host.

He was wearing a black suit, blue shirt and black shoes to match. A story of resilience amidst great obstacles and indifference. Daudi is a blind man. He was born with sight, but unfortunately he developed eye problems and gradually started losing his ability to see. In the year he became completely blind. Opening up, he says until now he is oblivious of the root cause of his blindness.

Since developing eyesight problems while in primary school, he has visited many hospitals but has never been informed on what exactly has caused the vision impairment. Knowing that I would never be able to see again regardless of the treatment was heartbreaking. His impaired vision forced him to quit school in while in Form Three. He faced difficulty coping with education due to his fast-diminishing sight — a situation that was deteriorating day by day.

We was stuck indoors, spending most of his time crying, pondering on the dark future ahead of him. Other boys my age had the ability to see. The doctor who informed Magacha of his permanent blindness, advised him to go back to school.

Upon visiting TSB, Magacha, with a desire to go back to school, was instead advised to enroll for vocational training skills. In AugustMagacha began his new academic life.

Auto: nel 2019 immatricolazioni in ue +1,2%, per fca -7,3

At his new school he started learning braille. This adjustment was eye-opening, however, it was challenging too because, despite being in his 20s, he had to wear primary school uniform just like the rest of the students at the school, a majority of whom were much younger. In just four months they completed their braille course and he was taken to Mpwapwa Secondary School where he got an opportunity to go straight to Form III in He completed form four in with a good score considering the hurdles he had to overcome.

Four years later he graduated with a Law degree. Apart from that, they were also given people who could assist them with reading some of the notes that at times went up to pages.

This, however, proved to be a challenge because the people who used to help them with reading often reported late to do that task.

Another challenge that Magacha, along with his peers facing the same predicament went through, was being expected to perform certain tasks better than they could.